Baraza la Fatwa Lasikitishwa Na Kindiki Kutangaza Jumatano Sikukuu ya Eid al-Adha by Uasin Gishu News June 27, 2023 News 856 views 2 mins read Mwenyekiti wa baraza hilo Shariff Ahmad Ahmad Badawi anasema Waziri Kindiki alitoa uamuzi huo hata baada ya wao kumuandikia barua wakimshauri tarehe mwafala ya sherehe hizo. More